Jifunze jinsi ya kujiunga na Freemason Tanzania na kupata msaada unaohitaji kuanza safari yako ya mafanikio.
Fuata hatua hizi rahisi kuanza mchakato wako wa kujiunga na jumuiya yetu.
Jaza fomu ya maombi ya uwanachama. Jaza taarifa zako zote kwa usahihi na ukamilifu. Taarifa hizi ni za siri na zinatumika kwa kukamilisha usajili, kuandaa jukwaa la mwanachama nk..
Baada ya fomu yako kukubaliwa, utaelekezwa kulipa gharama za usajili. Gharama hizi zinagharamia mafunzo, nyaraka rasmi, na huduma mbalimbali za uwanachama.
Baada ya kukamilisha hatua zote, utapewa utambulisho rasmi wa uwanachama na kuanza kufaidika na huduma zote za jumuiya.
Utahudhuria mafunzo ya awali yanayokufundisha kuhusu historia, taratibu, na majukumu ya mwanachama. Hii ni hatua muhimu ya safari yako.
siliana nasi kupitia WhatsApp au mazungumzo ya moja kwa moja. Tutakupa taarifa zako kuhusu uwanachama wako.
Gharama za usajili zinatumika kugharamia shughuli muhimu za jumuiya na huduma kwa wanachama.
Gharama za mara moja za kujiunga
Sababu muhimu za kwanini ni lazima kulipa gharama za usajili wa mwanachama mpya.
Gharama zinagharamia utengenezaji wa nyaraka rasmi, vitambulisho, na hati za uthibitisho wa uwanachama wako.
Sehemu ya gharama inakwenda kugharamia mafunzo, vifaa vya elimu, na programu za ukuaji wa wanachama wapya.
Gharama zinasaidia kudumisha shughuli za jumuiya, mikutano, na huduma mbalimbali zinazotolewa kwa wanachama.
Kulipa gharama ni sehemu ya kuonyesha kujitolea kwako kwa jumuiya na nia yako ya dhati ya kujiunga.
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuomba kujiunga na jumuiya yetu.
Misaada yote ya jumuiya hutolewa kwa wanachama tu ambao wamekamilisha usajili wao na account zao kudhibitishwa. Wanachama wanaopata misaada ni wale tu wanaozingatia taratibu za uwanachama wao kikamilifu.
Chama kuwa na fedha nyingi au mali hakutohusisha kusaidia usajili au taratibu zozote zitakazomuhusu mwanachama mpya. Mwanachama mpya anapaswa kuzingatia na kujisimamia kuonyesha nia yake ya kujiunga kikamilifu na kufuata taratibu.
Chama hakitoi misaada, fedha au mali binafsi kwa yoyote mmoja mmoja asiyesajiliwa au ambaye si mwanachama. Tafadhali usidanganywe na watu wanaodai kutoa msaada kwa jina la chama - misaada yote rasmi hutolewa kupitia njia zilizowekwa kwa wanachama waliodhibitishwa pekee.
Majibu ya maswali ya kawaida kuhusu usajili na uwanachama.
Wasiliana nasi leo kupitia WhatsApp au barua pepe. Timu yetu ipo tayari kukusaidia na kujibu maswali yako yote.